Gideon Musyoka Ndambuki (alizaliwa 1947) ni mwanasiasa wa Kenya. Amekuwa mbunge wa eneo bunge la Kaiti tangu 1997 wakati eneo hilo lilipoanzishwa, na alikuwa waziri kati ya 1998 na 2002.[1]

Marejeo

hariri
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamentarians in Kenya 1944–2007 Archived Oktoba 28, 2008, at the Wayback Machine