Eneo bunge la Kaiti
Eneo bunge la Kaiti ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya miongoni mwa majimbo sita katika kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Gideon Musyoka Ndambuki | KANU | |
2002 | Gideon Musyoka Ndambuki | KANU | |
2007 | Gideon Musyoka Ndambuki | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
haririKata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Ilima | 22,311 |
Kee | 14,760 |
Kikolo | 21,805 |
Kilala | 18,846 |
Kilungu | 8,955 |
Okia | 22,484 |
Kithembe | 18,292 |
Watema | 11,046 |
Jumla | x |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Kaumoni | 4,395 | Wote (Mji) |
Kilungu / Ilima | 9,117 | Makueni county |
Kithembe / Kikoko | 13,209 | Makueni county |
Ukia / Iuani | 10,030 | Makueni county |
Watema / Kee / Kivani | 8,507 | Makueni county |
Jumla | 45,258 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kaiti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |