Girma Wolde-Giorgis

Girma Wolde-Giorgis (Addis Ababa, 28 Desemba 1924 - 15 Desemba 2018) alikuwa Rais wa nchi ya Ethiopia tangu 8 Oktoba 2001 hadi 2013. Alimfuata Negasso Gidada.

Faili:President+girma woldegorgis (cropped).jpg
Girma Wolde-Giorgis, rais wa tatu wa Ethiopia.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Girma Wolde-Giorgis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.