Giugliano in Campania
Giugliano in Campania ni mji wa mkoa wa Campania, Italia Kusini na kuanzia mwaka 2015 ni sehemu ya jiji la Napoli.
Una wakazi 122,773 na hivyo ni wa 36 nchini Italia na wa 3 mkoani Campania.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Giugliano in Campania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |