Giuseppe Azzini
Mpanda baiskeli kutoka Italia (1891–1925).
Giuseppe Azzini (26 Machi 1891 – 11 Novemba 1925) alikuwa mpanda baiskeli wa mashindano kutoka Italia. Alishinda hatua mbili za Giro d'Italia ya mwaka 1913 na kumaliza wa tatu kwa jumla.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Giuseppe Azzini". Cycling Archives. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-11. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Giuseppe Azzini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |