1891
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| ►
◄◄ |
◄ |
1887 |
1888 |
1889 |
1890 |
1891
| 1892
| 1893
| 1894
| 1895
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1891 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
haririWaliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 8 Januari - Walther Bothe (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954)
- 23 Mei - Par Lagerkvist (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951)
- 26 Juni - Sidney Howard, mwandishi kutoka Marekani
- 5 Julai - John Howard Northrop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 12 Oktoba - Edith Stein, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 20 Oktoba - James Chadwick (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935)
- 20 Oktoba - Samuel Flagg Bemis, mwanahistoria kutoka Marekani
- 14 Novemba - Frederick Banting (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923)
- 10 Desemba - Nelly Sachs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)
Waliofariki
hariri- 7 Aprili - P. T. Barnum, mfanyabiashara kutoka Marekani
- 4 Julai - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 10 Novemba - Arthur Rimbaud, mshairi kutoka Ufaransa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: