Giuseppe Paupini (25 Februari 190718 Julai 1992) alikuwa askofu wa Italia wa Kanisa Katoliki ambaye alitumia muda mwingi wa maisha yake katika huduma ya kidiplomasia ya Vatikani kabla ya kushika wadhifa katika Curia ya Kirumi kama Mkuu wa Kitubio cha Kitume. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1969.[1]

Marejeo

hariri
  1. Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XXXXIX. 1957. uk. 432. Iliwekwa mnamo 22 Desemba 2019.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.