Gladys Ngetich
Gladys Chepkirui Ngetich, (alizaliwa mwaka 1991) ni mhandisi wa nchini Kenya, na mwanazuoni wa Rhodes, [1] [2] anaesoma shahada ya udaktari katika uhandisi wa anga katika Chuo Kikuu cha Oxford, nchini Uingereza. [3] [4] Yeye ndiye mpokeaji wa Ushirika wa Tanenbaum na Tuzo la Ubora la Babaroa. [5] [6]
Historia na elimu
haririNgetich alizaliwa katika Kijiji cha Amalo, Kaunti ya Nakuru . Alisomea Shule ya Msingi ya Lelaibei huko Olenguruone. Alisoma katika Shule ya sekondari ya Wasichana ya Mercy huko Kericho . [7] Alidahiliwa katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta, na kuhitimu shahada ya Sayansi katika uhandisi wa mitambo, mwaka 2013.
Maisha binafsi
haririKama ilivyoelezwa katika Nature, Ngetich anafurahia kukimbia, muziki wa dansi wa Bongo na hip-hop ya Kiswahili. [8]
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- ↑ Rhodeshouse
- ↑ "Rhodes Scholars Class of 2015". web.archive.org. 2015. Iliwekwa mnamo 2021-10-12.
- ↑ Cherono, Stella (25 Julai 2018). "Student rejected for 298 KCPE marks shines in the UK". Iliwekwa mnamo 26 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kenyan Girl With 298 KCPE Marks Shines In UK", 2018-07-25.
- ↑ Briggs. "Why are there so few female engineers?", 2018.
- ↑ Kamasah. "'Lazy' student rejected by African schools wins UK's top 10 best students award". Retrieved on 2022-03-16. Archived from the original on 2018-07-26.
- ↑ Cherono, Stella (25 Julai 2018). "Student rejected for 298 KCPE marks shines in the UK". Iliwekwa mnamo 26 Julai 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)Cherono, Stella (25 July 2018). "Student rejected for 298 KCPE marks shines in the UK". Daily Nation. Nairobi. Retrieved 2018 - ↑ Gewin, Virginia (24 Okt 2019). "Where I Work - Gladys Ngetich" (PDF). Nature. 574 (7779): 590. doi:10.1038/d41586-019-03077-3. PMID 31641269.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gladys Ngetich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |