Glasgow
Glasgow ni mji katika Uskoti magharbi.
Jiji la Glasgow | |
Majiranukta: 55°51′29″N 4°15′32″W / 55.85806°N 4.25889°W | |
Nchi | Uskoti |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 580,690 |
Tovuti: www.glasgow.gov.uk |
Glasgow ni mji mkubwa kuliko yote ndani ya Uskoti, wenye wakazi karibu nusu milioni, lakini si mji mkuu. Bunge la Uskoti liko Edinburgh.
Una timu mbili maarufu za soka: Celtic na Rangers.
Viungo vya nje
hariri- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Glasgow kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |