Glory Iroka
Mchezaji wa soka wa Nigeria
Glory Iroka (alizaliwa 3 Januari 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Wanawake ya Nigeria Rivers Angels na timu ya taifa ya Nigeria.[1][2]
Glory Iroka | |
Amezaliwa | 3 Januari 1990 Nigeria |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Kazi yake | Mchezaji |
Kazi
haririAlishiriki akiwa na timu ya taifa ya Nigeria katika michuano ya Wanawake ya Afrika ya mwaka 2012 na 2014.[3]
Marejeo
hariri- ↑ "List of Players – 2011 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 08 Juni 2019. Archived from the original on 2019-06-08.
- ↑ Glory IrokaPersonal informationFull name Glory IrokaDate of birth3 January 1990Place of birth NigeriaHeight 1 63 mPositionMidfielderClub informationCurrent team Rivers AngelsNumber 11Senior career*Years Team AppsRivers Angels International career‡2008-2010 Nigeria U.-20 42010– Nigeria 4*Club domestic league appearances, goals‡ National team caps, goals, Correct as of 12:36, 12 July 2015. "Wikiwand - Glory Iroka". Wikiwand. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
{{cite web}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Okon picks Oshoala, Nwabuoku, 21 others for World Cup". Nigeria Football Federation. 27 Mei 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-28. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Glory Iroka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |