Go-Ichijo wa Japani

(Elekezwa kutoka Go-Ichijo)

Go-Ichijo (12 Oktoba, 100815 Mei, 1036) alikuwa mfalme mkuu wa 68 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Atsuhira, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Ichijo. Mwaka wa 1016 alimfuata binamu yake, Tenno Sanjo, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Go-Suzaku.

Kaburi la Mfalme Go-Ichijō na mmoja wa binti zake, Kyoto

Angalia pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Ichijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.