Go-Nijo (9 Machi, 128510 Septemba, 1308) alikuwa mfalme mkuu wa 94 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Kuniharu, na alikuwa mwana wa kwanza wa Go-Uda. Mwaka wa 1301 alimfuata binamu yake Go-Fushimi, na kuwa mfalme hadi kifo chake 1308. Aliyemfuata kama Tenno ni binamu yake Hanazono.

Mchoro wa Go-Nijo

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Nijo wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.