Godfrey William Mgimwa

(Elekezwa kutoka Godfrey Mgimwa)

Godfrey William Mgimwa (alizaliwa 24 Agosti 1981[1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo la Kalenga kwa miaka 20152020 katika uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka 2014 [2][3].

Mgimwa alizaliwa katika mkoa wa Iringa. Ni mtoto wa aliyekuwa Waziri wa fedha, William Mgimwa.

Marejeo

hariri
  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Godfrey_Mgimwa
  2. http://www.parliament.go.tz/administrations/59 Tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania Mei 2017
  3. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017