Godfrey Weston Zambi

Godfrey Weston Zambi (amezaliwa tar. 12 Juni 1962) ni mbunge wa jimbo la Mbozi Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Godfrey Weston Zambi (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.