Godwin Oloyce Mollel

Godwin Oloyce Mollel ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.

Alichaguliwa kuwa mbunge wa Siha kwa miaka 20152020 kwa tiketi ya CHADEMA, halafu akahama chama. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017