Gok (jimbo)
Gok State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Gok State | |
Mahali pa Gok katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Cueibet |
Idadi ya kaunti | 6 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Madang Majok |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 174,460 |
Imegawanyika katika kaunti 6:
- Cueibet County (makao makuu: Bueibet),
- Abiriu County (makao makuu: Abiriu),
- Duony County (makao makuu: Duong),
- Waat County (makao makuu: Pagor),
- Anyar Nguan County (makao makuu: Tiaptiap) na
- Malou-Pech County (makao makuu: Malou).
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gok (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |