Gombakanzu
Gombakanzu | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Gombakanzu au majani ya Pemba (Stenotaphrum dimidiatum) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Nyasi hili huunda matabaka mazito ya manyasi, mara nyingi kwa pwani. Kwa sababu ya hiyo spishi hii na spishi ndugu S. secundatum hupandwa katika nyua.
Viungo vya nje
hariri- Taarifa kutoka PROTA Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Taarifa kutoka Kew Gardens