Gopala Davies
Gopala Davies (alizaliwa Mei 14 mwaka 1988) ni muigizaji na muongozaji filamu wa Afrika Kusini. Anajulikana sana kwa utengenezaji wa michezo ya ukumbini ya kitamaduni Barbe Bleue: Hadithi juu ya wazimu, ambayo ilishinda Tuzo ya Standard Bank Oover katika Tamasha la Sanaa la Kitaifa mnamo mwaka 2015, na Tuzo ya Muongozaji filamu Bora wa Wanafunzi mnamo mwaka 2014.[1][2][3][4][5]
Gopala Davies | |
---|---|
Amezaliwa | Gopala Davies Mei 14 1988 Pretoria, Gauteng, Afrika Kusini |
Kazi yake | Ni muigizaji na muongozaji filamu wa Afrika Kusini |
Miaka ya kazi | 2008 hadi sasa |
Gopala anacheza uhusika wa Adam katika filamu fupi ya Lilith: Genesis One ambayo ilishinda tuzo za Imaginarium kitengo cha filamu za PPC za 2015[6][7] na majaribio bora ya kimataifa ya mwaka 2016 katika Tamasha la ICARO Internacional de Cine. Aliigiza kama Robert katika kipindi cha tamthiliya ya vizazi vya SABC: The Legacy. Gopala pia alitembelea Afrika Kusini pamoja na Pieter Toerien's The History Boys, ambayo ilishinda tuzo ya Naledi ya uzalishaji bora wa tamthiliya mwaka 2011.[8][9][10]
Mwaka 2013 Gopala alicheza kama Mohammed katika filamu ya Tom Coash’s Cry Havoc, iliyoandaliwa na Grace Meadows na Ashraf Johaardien, ambayo alicheza pamoja na waigizaji David Dennis na Brenda Radloff.[11][12][13][14][15]
Marejeo
hariri- ↑ "Staff Reporter", 15 July 2014. Retrieved on 22 January 2016. Archived from the original on 2016-03-09.
- ↑ "Creative excellence rewarded at National Arts Festival 2015", National Arts Festival, 12 July 2015. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "2014 Standard Bank Ovation Awards announced at National Arts Festival", National Arts Festival, 13 July 2014. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "2014 Standard Bank Ovation Awards Revealed at National Arts Festival", 14 July 2014. Retrieved on 22 January 2016.
- ↑ Aldridge, William; Kruger, Elmarie. "Barbe Bleue: a story of madness". Perdeby. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-01. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 2015/16 PPC Imaginarium Awards", ART Times, 4 August 2015. Retrieved on 25 January 2016. Archived from the original on 2018-08-08.
- ↑ "SA short gains recognition abroad", 8 December 2015. Retrieved on 22 January 2016. Archived from the original on 2016-11-22.
- ↑ Lindberg, Dawn. "The winners – Naledi Theatre Awards 2011". Naledi Theatre Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-04. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Brilliant Boys", Independent Online, 22 August 2011. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "Making history with Pieter Toerien", Artslink, 15 June 2011. Retrieved on 25 January 2016. Archived from the original on 2018-08-08.
- ↑ "Explosive Cry Havoc at UJ Con Cowan Theatre", Artslink, 30 September 2013. Retrieved on 25 January 2016. Archived from the original on 2018-12-14.
- ↑ "Cry Havoc: More than a love-hate story", Daily Maverick, 14 October 2013. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "Lineup for Grahamstown National Arts Festival", Bizcommunity, 19 April 2013. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "Review – Cry Havoc: An unsettling coincidence", News 24, 6 July 2013. Retrieved on 25 January 2016.
- ↑ "Love conquers nothing", Cue Online, 6 July 2013. Retrieved on 25 January 2016. Archived from the original on 2014-11-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gopala Davies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |