Got to Be There (wimbo)

"Got to Be There" ni wimbo wa mwaka wa 1971 uliotolewa na msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson kwenye studio ya Motown. Huu ulikuwa wimbo wake wa kwanza kuimba akiwa kama msanii wa kujitegemea tangu hapo alivyokuwa mwimbaji kiongozi wa bendi yenye-mafanikio ya The Jackson 5. Shughuli za usanii wa kijitegemea kwa Michael ulianza baada ya kupata mafanikio yake katika albamu ya Got to Be There.

“Got to Be There”
“Got to Be There” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Got to Be There
B-side "Maria"
Imetolewa 7 Oktoba 1971
Muundo 7" single
Imerekodiwa Kiangazi cha 1971
Aina Soul/Pop
Urefu 3:22
Studio Motown Records
Mtunzi Elliot Willensky
Mtayarishaji Hal Davis
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Got to be There"
(1971)
"Rockin' Robin"
(1972)

Wimbo ulitungwa na Elliot Willensky (Bayonne, NJ) na kutayarishwa na mtayarishaji wa zamani wa Jackson 5, Hal Davis, na ulipata mafanikio haraka sana na kushika #1 kwenye chati za Cashbox, na #4 kote kwenye chati za Billboard pop na R&B.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Got to Be There (wimbo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.