Got to Be There
- Kwa makala ya nyimbo yenye jina sawa na hili, tafadhali fungua hapa
Got to Be There ilikuwa albamu ya kujitegemea iliyotolewa wakati huo wa enzi za ujana wa Michael Jackson. Albamu ilitolewa na studio ya Motown Records, mnamo tar. 24 Januari katika mwaka wa 1972.[1]
Albamu imejumlisha kibao ambacho kinakwenda kwa jina hilihili la albamu, ambacho kilitolewa mnamo mwaka 1971 kikiwa kama single ya kwanza ya Michael Jackson.
Got to Be There | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 24 Januari 1972 | ||||
Imerekodiwa | 1971 | ||||
Aina | R&B, soul, pop/rockHitilafu ya kutaja: Invalid parameter in <ref> tag |
||||
Urefu | 35:11 | ||||
Lebo | Motown | ||||
Mtayarishaji | Hal Davis, Willie Hutch | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
|
Historia
haririOrodha ya nyimbo
hariri- "Ain't No Sunshine" (Withers) (yenyewe iliimbwa na Bill Withers) – 4:09
- "I Wanna Be Where You Are" (Ware/Ross) – 3:01
- "Girl Don't Take Your Love From Me" (Hutch) – 3:46
- "In Our Small Way" (Verdi/Yarian) – 3:34
- "Got to Be There" (Willensky) – 3:23
- "Rockin' Robin" (Thomas) (yenyewe iliimbwa na Bobby Day) – 2:31
- "Wings of My Love" (Corporation) – 3:32
- "Maria (You Were the Only One)" (Brown/Glover/Gordy/Story) – 3:41
- "Love Is Here and Now You're Gone" (Holland-Dozier-Holland) (yenyewe iliimbwa na The Supremes) – 2:51
- "You've Got a Friend" (King) (yenyewe iliimbwa na Carole King) – 4:53
Marejeo
haririViungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Got to Be There kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |