Grace Asantewaa

Mchezaji mpira wa Ghana


Grace Asantewaa (alizaliwa 5 Desemba 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa klabu ya mpira wa miguu ya Real Betis ya Ligi Kuu ya Uhispania na timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.

Grace Asantewaa
Amezaliwa 5 Disemba 2000
Ghana
Nchi Ghana
Kazi yake Mchezaji

Kazi hariri

Asantewaa alishiriki katika kombe la mataifa ya Afrika la wanawake la mwaka 2018.Alipocheza mechi tatu.[1][2][3]

Marejeo hariri

  1. https://www.cafonline.com/competitions/
  2. https://int.soccerway.com/players/-/463792/
  3. "Player Details: Grace Asantewaa". Total Women's Africa Cup of Nations. Confederation of African Football. Iliwekwa mnamo 16 June 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Asantewaa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.