Gregor Kobel
Mchezaji wa chama cha soka cha Uswizi
Gregor Kobel (alizaliwa 6 Desemba 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uswisi.
Marejeo
hariri- ↑ "Gregor Kobel | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gregor Kobel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |