Gugulethu Mayisela

Gugulethu Mayisela (alizaliwa tarehe 19 Aprili 2004) ni mwanamitindo na mshindi wa taji la urembo kutoka Afrika Kusini ambaye alikua mwanamke mweusi wa kwanza kushinda Miss Teen World mwaka 2022 nchini Ecuador.[1][2][3] Pia ametawazwa kuwa Miss Grand South Africa mwaka 2023 na aliwakilisha Afrika Kusini katika Miss Grand International mwaka 2023 nchini Vietnam.[4]

Gugulethu Mayisela mwaka 2023



Marejeo

hariri
  1. "Ekurhuleni pageant queen adds Miss Teen World to her many titles". "Beauty queen Gugulethu Mayisela is on cloud nine after bagging her first international pageant Miss Teen World in Ecuador." 
  2. "Miss Teen World 2022 Gugulethu Mayisela wants to use her platform to advocate for education for young people". "Johannesburg-born beauty queen Gugulethu Mayisela was crowned Miss Teen World 2022 after competing against other teenage hopefuls from across the globe in October." 
  3. "Gugulethu Mayisela de Sudáfrica Miss Teen World 2022" [Gugulethu Mayisela from South Africa Miss Teen World 2022]. ultimahoraecuador.com (kwa Kihispania). Ecuador: Ultima Hora Ecuador. Okt 20, 2022. Iliwekwa mnamo Okt 26, 2022. The South African Gugulethu Mosibudi Mayisela, 18 years old, won the Miss Teen World 2022 title, in a great event that was held within the framework of the 202 years of Independence of Guayaquil.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (original in Spanish)
  4. "WOW- Meet Gugulethu Mayisela, who was crowned Miss Grand South Africa 2023". topvzla.com. Top Vzla. Julai 24, 2023. Iliwekwa mnamo Julai 24, 2022. The Miss Grand South Africa organization celebrated the final of the 2023 edition on Saturday, July 22, 2022, where Gugulethu Mayisela was crowned the new queen by becoming the official representative of South Africa in Miss Grand International 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) (original in Spanish)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gugulethu Mayisela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.