Miss Grand International

Miss Grand International ni mashindano ya urembo wa kike,[1] uliofanyika kila mwaka tangu 2013.[2] Ilianzishwa nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil[2][3] na ilionekana kuwa moja ya mashindano maarufu ya urembo ulimwenguni.[4][5] Miss Grand International ya sasa ni Valentina Figuera kutoka Venezuela.[6] Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili kama Kenya, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, na Uganda hawajawahi kushinda mashindano haya.

Miss Grand International
Miss Grand International Organisation
(Kithai) มิสแกรนด์อินเตอร์เนชันแนล
Habari za jumla
UfupishoMGI
AinaKampuni
Motto(Kiingereza) Stop the wars and violence
Historia
ImaraNovemba 6, 2013; miaka 11 iliyopita (2013-11-06)
MwanzilishiUthai Nawat Itsaragrisil
Muundo
RaisUthai Nawat Itsaragrisil
Makamu wa RaisUthai Teresa Chaivisut
Sasa Miss Grand internationalVenezuela Valentina Figuera
Sehemu ya kufanya kaziUlimwenguni kote
Ofisi ya mkuuUthai Bangkok, Thailand
Mahali1213/414, Soi Lat Phrao 94 (Pancha Mit), Lat Phrao Road, Phapphla, Wang Thonglang, Bangkok, Thailand
Idadi ya wanachamaZaidi ya nchi 70
Mashirika yanayohusiana
MmilikiMiss Grand International Co, Ltd.
Vyombo tanzuMiss Grand Thailand
Vyombo vya habari
TovutiTovuti rasmi
   
Miss Grand International 2020
Valentina Figuera, Miss Grand International 2019 pamoja na Ni Una Sonrisam Menos Foundation walitembelea hospitali ya watoto ya Rafael Tobías Guevara huko Barcelona, jimbo la Anzoátegui, Venezuela kutoa michango.

Mshindi

hariri
Mwaka Miss Grand International Nchi Mji mwenyeji Nchi mwenyeji Idadi ya wagombea
2013 Janelee Chaparro[2]   Puerto Rico Bangkok   Uthai 71
2014 Lees Garcia[7][8]   Cuba 85
2015 Anea Garcia[9]   Dominican Republic 77
Claire Elizabeth Parker[9]   Australia
2016 Ariska Putri Pertiwi[2][10]   Indonesia Las Vegas   Marekani 74
2017 María José Lora[11]   Peru Phú Quốc   Vietnam 77
2018 Clara Sosa[12][13]   Paraguay Yangon   Myanmar 75
2019 Valentina Figuera[6]   Venezuela Caracas   Venezuela 60
2020 Abena Appiah   Marekani Bangkok   Uthai 63
2021 Nguyễn Thúc Thùy Tiên   Vietnam 59
2022 Isabella Menin   Brazil Jakarta   Indonesia 68
2023 Luciana Fuster   Peru Mji wa Ho Chi Minh   Vietnam 69
2024 Rachel Gupta   Uhindi Bangkok   Uthai 68
hariri

Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili

hariri

Kitufe cha rangi

  •       Mshindi
  •       Finalist
  •       Semifinalist

Miss Grand Tanzania

hariri

Mashindano ya Miss Grand Tanzania yalifanyika mara moja mnamo 2017, ambayo Batuli Mohamed ndiye mshindi. Mkurugenzi wa kwanza wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Tanzania ni Paula David (2014-2015), na kufuatiwa na Samantha O'Shea Maina mnamo 2017-2019.

Mwaka Miss Grand Tanzania Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
  2013 Hakuna mmiliki wa haki nchini
  2014 Lorraine Clement Marriot[14] Miss Grand Tanzania 2014 20 176 cm Dar es Salaam
  • Top 20 – Mavazi bora ya Kitaifa
  2015 Jinah Dameckh[15] Nafasi ya 3 – Miss Grand Tanzania 2014 Dar es Salaam Hakujiunga na shindano
  2016 Hakuna mmiliki wa haki nchini
  2017 Batuli Mohamed[16] Miss Grand Tanzania 2017 20 Dar es Salaam
  • Top 25 – Mavazi bora ya Kitaifa
  2018 Queen Mugesi Ainory Gesase[17] 18 178 cm Dar es Salaam
  • Top 20 – Mavazi bora ya Kitaifa
  2019 Hakuna mwakilishi

Miss Grand Kenya

hariri

Mnamo 2013, mmiliki wa dhamana ya Miss Grand International nchini Kenya alikuwa Beauties of Africa Organia na Andy Abulime[18] na 2015, ilikuwa shirika la Miss Kenya.[19][20][21]

Mwaka Miss Grand Kenya Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
  2013 Pauline Akwacha[18] Top 10 – Miss World Kenya 2012 22 Kisumu
  2014 Hakuna mwakilishi
  2015 Elaine Wairimu Mwangi[19][20] Miss Grand Kenya 2015
(katika shindano la Miss Kenya 2015)
22 Nairobi
2016 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Miss Grand Kongo

hariri

Kuna mwakilishi mmoja tu wa Kongo kwa Miss Grand International mnamo 2014, Naise Gumanda,[22][23] lakini hakujiunga na shindano hilo.

Mwaka Miss Grand Congo Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
  2013 Hakuna mwakilishi
  2014 Naise Gumanda[22][23] Hakujiunga na shindano
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Miss Grand Rwanda

hariri

Rwanda ilijiunga na Miss Grand International mara moja mnamo 2016 na Sonia Gisa.[24]

Mwaka Miss Grand Rwanda Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
2014 – 2015: Hakuna mmiliki wa haki nchini
  2016 Sonia Gisa[24] 25 169 cm Karongi
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Miss Grand Uganda

hariri

Mkurugenzi wa mwisho wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Uganda ni Nsubuga Ronnie katika toleo la 2017. Tangu wakati huo, hakuna wawakilishi wa Uganda kwenye mashindano haya.

Mwaka Miss Grand Uganda Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
  2013 Pierra Akwero[25] Miss International Uganda 2009 26 Entebbe
  2014 Hakuna mwakilishi
  2015 Lilian Gashumba[26] 26 180 cm Kampala
  2016 Hakuna mwakilishi
  2017 Priscilla Achieng[27] Miss Earth Uganda 2016[28] 24 175 cm Tororo
2018 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Marejeo

hariri
  1. Sashes&Scripts Official (2019-05-18). "Age Requirements for Major International Pageants" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 201-11-12. {{cite web}}: Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 Voltaire E. Tayag (2017-10-21). "Miss Grand International: A Pageant for Peace". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-15. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
  3. Alexa Villano (2019-10-23). "What you need to know about the Miss Grand International pageant". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
  4. Brigitte Ferguson (2019-07-07). "Miss Grand Australia Beauty Pageant". F Magazine Online (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
  5. Global Beauties (2019-02-12). "Meenakshi Chaudhary, Miss India Grand, is Miss Grand Slam 2018!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-12. {{cite web}}: Unknown parameter |lamguage= ignored (help)
  6. 6.0 6.1 Metro Puerto Rico (2019-10-28). "Valentina Figuera conquista Miss Grand International en su tierra" (kwa Kireno). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-05. Iliwekwa mnamo 2019-10-30. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
  7. Hot in Juba (2014). "Miss Grand International Lees Garcia is in Juba" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-27. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.
  8. Miss Grand International (2015-05-23). "Lees Garcia - Miss Grand International 2014 Inside The Refugee Camp" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
  9. 9.0 9.1 Jenna Clarke (2016-03-02). "Sexual assault allegations engulf Miss Grand International as Claire Parker adopts crown". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
  10. Concurso Nacionalde Beleza (2017-04-21). "Conheça os detalhes sobre o Miss Grand International 2017!" (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
  11. Global Beauties (2017-10-25). "Miss Grand International 2017 is Miss Peru!" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
  12. Rappler.com (2018-10-26). "Miss Grand International 2018 Clara Sosa faints on stage after winning title" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 2018-11-12.
  13. Testbook.com (2018). Current Affairs Capsule October 2018 (kwa Kiingereza). Juz. la October 2018. Testbook.com. uk. 28.
  14. Miss Grand International Organization (2013). "Miss Grand Tanzania 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  15. Angelopedia (2015-09-19). "Jinah Dameckh to represent Tanzania at the Miss Grand International 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  16. Global Beauties (2017-08-12). "Miss Grand Tanzania 2017" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
  17. Irina Silva (2018-08-27). "Queen Mugesi Ainory Gesase crowned Miss Grand Tanzania 2018" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
  18. 18.0 18.1 Maureen Odiwour (2014-01-26). "Beauty beyond skin" (kwa Kiingereza). Standard Media. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  19. 19.0 19.1 Thegreatpageantcommunity (2015-08-12). "Linda Gatere is Miss Earth Kenya 2015 [Photos]" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  20. 20.0 20.1 Angelopedia (2015-08-12). "Elaine Wairimu Mwangi crowned Miss Grand Kenya 2015" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  21. Capital campus (2015-06-09). "Are you the next Miss Kenya? here is what organisers are looking for" (kwa Kiingereza). Capital FM. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  22. 22.0 22.1 Pageantlovely (2014-08-01). "Miss Grand Congo 2014" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-11. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  23. 23.0 23.1 Officialmisssierraleoneusa (2014-09-16). "Miss Sierra Leone USA Talks Miss Grand International 2014 - Queens of Africa" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-08. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  24. 24.0 24.1 Miss Grand International Organisation (2015). "Miss Grand Rwanda 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  25. Miss Grand International Organisation (2013). "Miss Grand Uganda 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  26. Stella Nassuna (2015-10-14). "Ugandan girl finds it hard going in miss grand international" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  27. Denzel Shantel (2017-09-23). "Former Miss Earth needs 3M to fly to Vietnam to represent Uganda at Miss Grande Internationale" (kwa Kiingereza). Showbiz Uganda. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
  28. Musa Ssemwanga (2016-09-06). "Tororo's Priscilla Achieng crowned Miss Earth Uganda" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-24. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. {{cite web}}: |archive-date= / |archive-url= timestamp mismatch; 2017-07-25 suggested (help)

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: