Guillermo Alberto Santiago Lasso Mendoza (amezaliwa 16 Novemba 1955) ni mwanasiasa wa Ecuador ambaye ndiye Rais wa sasa wa Ecuador, madarakani tangu Mei 2021.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guillermo Lasso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.