Guillermo Leaden, S.D.B. (20 Julai 191314 Julai 2014) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Argentina.

Akiwa na umri wa miaka 100, alikuwa mmoja wa maaskofu wazee zaidi katika Kanisa hilo na askofu mzee zaidi wa Argentina.[1]

Marejeo

hariri
  1. AICA (2013-12-17). "Murió monseñor Guillermo Leaden, decano del episcopado argentino". AICA. Iliwekwa mnamo 2014-07-16.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.