GuiltyBeatz
msanii wa muziki
Ronald Banful, (alizaliwa Januari 17, 1990), anajulikana kwa jina lake la kisanii la GuiltyBeatz, ni DJ wa muziki nchini Ghana na mtayarishaji wa muziki. Alizaliwa huko Palermo, Italia, GuiltyBeatz alipata umaarufu wa kwanza kama mtayarishaji wa muziki baada ya kutayarishaji wimbo kama "Bad girl(msichana mbaya) ulioimbwa na Jesse Jagz pamoja na Wizkid na nyimbo nyingine nyingi. [1] [2][3][4][5]
Marejeo
hariri- ↑ "'Akwaaba' song was a call for recognition - Guilty Beatz reveals", 9 August 2018. Retrieved on 2022-04-23. Archived from the original on 2019-08-19.
- ↑ "Video: GuiltyBeatz Drops New Hit "Fire" ft. King Promise & JoeBoy", 9 August 2018.
- ↑ https://web.archive.org/web/20190723214841/https://ghanavibes.com/ghanaian-producers-who-can-give-you-an-instant-hit-songs/
- ↑ https://beatznation.com/profile/guilty-beatz/
- ↑ https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/AFRIMA-2018-Guilty-Beatz-grabs-two-awards-with-popular-Akwaaba-song-703554 iliwekwa mnamo 2023 Februari 26
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu GuiltyBeatz kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |