Guinea (maana)
Guinea ni neno linaloweza kumaanisha:
Kwenye bara la Afrika:
- kanda ya kijiografia ya Guinea katika Afrika ya Magharibi
- nchi ya Guinea (pia: Gine / Gini)
- nchi ya Guinea-Bisau (pia: Ginebisau)
- nchi ya Guinea ya Ikweta (pia: Ginekweta)
Katika Australia na Pasifiki
- kisiwa cha Guinea Mpya (Australia na Pasifiki) (pia: Nyugini)
- nchi ya Papua Guinea Mpya (Australia na Pasifiki)
Majina yenye "Guinea" zisichanganywe na nchi zinazoitwa "Guyana".