Gwambina F.C. ni klabu ya mpira wa miguu ya nchini Tanzania iliyopo Mkoa wa Mwanza. Ilianzishwa mwaka 2019 ikafaulu kupanda juu na kuingia Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye mwaka 2020.[1]

Michezo yao ya nyumbani inachezwa kwenye Uwanja wa Gwambina.

Marejeo hariri

  1. One-year-old Gwambina FC earn Mainland Premier League promotion, tovuti ya goal.com ya tar. ^28.06.2020, iliangaliwa Agosti 2020