Gwangju
Gwangju (Kikorea: 광주) ni mji nchini Korea Kusini. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Korea Kusini. Kuna wakazi 1,415,953 (mwaka 2010). Mji ulianzishwa 57 KK.
Jiografia
haririEneo lake ni 501.36 km².
Viungo vya nje
hariri- eng.gjcity.net Ilihifadhiwa 19 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu "Gwangju" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gwangju kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |