Härryda (manispaa)

Härryda ni manispaa na pia mji nchini Uswidi. Utawala wa mtaa ni Mölnlycke. Kuna wakazi 34,198 (mwaka 2005).

Jiografia hariri

Eneo lake ni 292.8 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 10 km.


Viungo vya nje hariri



  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Härryda (manispaa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.