Héctor Rubén Aguer (alizaliwa 24 Mei 1943) ni Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la La Plata, ambalo lipo katika mkoa wa Buenos Aires, Argentina.[1]

Archbishop Héctor Aguer

Marejeo

hariri
  1. See "Guia eclesiastica de la Republica Argentina". Buenos Aires, AICA, 2010. Also OSLAM (Organizacion de seminarios de America Latina), bulletin at the General Archive of the CELAM, Bogota.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.