Héctor Moreno (alizaliwa 17 Januari 1988) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza klabu ya Hispania Real Sociedad na timu ya taifa ya Mexiko kama beki wa kati.

Héctor Moreno

Moreno alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya Mexiko ya chini ya miaka 17 ambayo ilishinda michuano ya Dunia ya mwaka 2005 iliyofanyika Peru.

Pia amewakilisha Mexiko katika michuano ya Dunia ya mwaka 2010, 2014, na kombe la Dunia la FIFA 2018.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Héctor Moreno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.