Haleakala ni mlima wa volikano katika jimbo la Hawaii (Marekani).

Mlima Haleakala

Una kimo cha mita 3,050 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Haleakala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.