Orodha ya milima ya Marekani
Hii orodha ya milima ya Marekani inatajwa kwa kufuata alfabeti baadhi yake tu.
A
B
- Mlima Baker - Cascades, Washington
- Mlima Baxter - California
- Mlima Big Bear - California
- Mlima Bona (futi 16,550) - Milima Saint Elias , Alaska
- Mlima Borah - Idaho
- Mlima Bridge - Red Rock Canyon National Conservation Area, Nevada
- Mlima Blue Job - New Hampshire
- Blue Knob - Pennsylvania
- Mlima Bristol - New York
C
- Camel Hump - Milima Green, Vermont
- Mlima Cannon - Milima White, New Hampshire
- Cathedral Peak - California
- Mlima Charleston - Milima Spring, Nevada
- Mlima Cheaha - chini ya Milima Apalachi, Alabama
- Mlima Churchill (futi 15,638) - Milima Saint Elias, Alaska
- Mlima Columbia - Colorado
D
- Mlima Danish - California
- Mlima Denny - Washington
- Devils Thumb - Alaska
- Devils Tower - Wyoming
- Mlima Diablo - California
- Mlima Delano - (futi 12,163), Milima Tushar, Utah
E
- Mlima Elbert (m 4,401) - Sawatch Range, Colorado, wa juu katika Rocky Mountains
F
- Mlima Fairweather (m 4,663; futi 15,300) - Fairweather Range, Glacier Bay National Park, Alaska
- Mlima Foraker - Alaska
G
- Gannett Peak - Wyoming
- Glacier Peak - Cascades, Washington
- Mlima Glas, California (m 3,395; futi 11,138) - California
- Grand Teton - Wyoming
- Mlima Greylock - Massachusetts
H
- Haleakala (m 3,050) volkeno iliyolala - Hawaii , Oceania
- Half Dome - California
- Mlima Hood - Cascades, Oregon
- Mlima Horsetooth - Colorado
- Milima Huron - Michigan
I
J
K
- Mlima Katahdin (mita 1,605) - mwisho wa kaskazini wa Appalachian Trail, Maine
- Kings Peak (futi 13,528) - Utah 40°46′43″N 110°22′28″W / 40.77861°N 110.37444°W wa 7 wa juu katika Marekani src Archived 4 Juni 2008 at the Wayback Machine.
L
- Mlima Lafayette - Milima White, New Hampshire
- Mlima Lassen - Cascades, California
- Mlima Lemmon (m 2,791) - Milima Santa Catalina, Arizona
- Lone Peak (futi 11,253) - Wasatch Range, Utah 40°31′36″N 111°45′19″W / 40.52667°N 111.75528°W
- Longs Peak - Colorado
M
- Mlima Mammoth - California
- Mlima Mansfield - Milima Green, Vermont
- Mlima Marathon - Milima Kenai, Alaska
- Maroon Peak - Colorado
- Mlima Marcus Baker - Chugach Range, Alaska
- Mlima Marcy (futi 5,344) - Milima Adirondack. kilele cha juu cha New York State
- Mlima Massive - Sawatch Range, Colorado
- Mauna Kea (m 4,205) volkeno iliyolala - Hawaii , Oceania - mlima mrefu katika dunia kipimo kikichukuliwa kutoka ndani ya bahari; kwa jumla urefu wake ni m 10,203 (futi 33,476)
- Mauna Loa (m 4,170) - volkeno hai - Hawaii , Oceania
- Mlima McKinley au Denali - Alaska (m 6194; futi 20,320) mlima mkubwa zaidi Amerika ya Kaskazini 63°04′10″N 151°00′13″W / 63.06944°N 151.00361°W
- Mlima Mitchell (mita 2,037; futi 6,684) - North Carolina, wa juu katika milima Apalachi
- Mlima Monadnock - New Hampshire
N
O
- Mlima Olympus - Washington
- Mlima Olympus (futi 9,026) - Wasatch Range, Utah
P
Q
R
- Mlima Rainier (4.392 m) - Cascades, Washington
S
- Mlima Saint Elias (m 5,489) - wa pili katika Amerika ya Kaskazini
- San Jacinto Peak (m 3,293) - California
- Mlima Sanford (futi 16,237) - Milima Saint Elias, Alaska
- Mlima Shasta - California
- Mlima Shuksan (m 2,783) - Cascades, Washington
- Mlima St Helens - volkeno hai katika Cascades, Washington
- Mlima Si (m 1,270) - Cascades, Washington, mfupi lakini maarufu
- Mlima Snoqualmie - Washington
- Mlima Stuart - Cascades, Washington
- Mlima Sunapee - New Hampshire
T
- Mlima Timpanogos (futi 11,750) - Wasatch Range, Utah
- Three Sisters - Oregon
- Mlima Torbert (futi 11.413) - Milima Tordrillo, Alaska
U
V
W
- Mlima Washington (m 1,917; futi 6,288) - New Hampshire, kilele cha juu kabisa katika Marekani kaskazini mashariki
- Mlima Werner - Colorado - eneo la Steamboat Ski Resort
- Wheeler Peak - kilele cha pili Nevada
- Mlima Whitney (m 4,421; futi 14,497.2) - Sierra Nevada, mlima wa juu kabisa katika Marekani isipokuwa Alaska
X
Y
Z