Halima Ally (alizaliwa 8 Aprili 1987) ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania (Bongo movie).[1]

Halima Ally
Nchi Tanzania
Kazi yake Muigizaji

Elimu yake hariri

Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Kidongo Chekundu na kujiunga na elimu ya sekondari mwaka 2002 katika shule ya Benbella High School.

Filamu alizowahi kuigiza hariri

  1. No time to die
  2. The Diplomat
  3. Tell me The Truth
  4. Laptop
  5. Fast furious

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-09. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halima Ally kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.