Hamad Ali Hamad

Mbunge wa Tanzania

Hamad Ali Hamad (27 Novemba 1964) ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa CUF na mbunge wa eneo bunge la Magogoni tangu 2010.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Novemba 2013. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)