Hamidu Hassan Bobali

Hamidu Hassan Bobali ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi au Civic United Front CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mchinga kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Archived 25 Januari 2020 at the Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017