Hannatu Musawa
Hannatu Musa Musawa amezaliwa Novemba 1, 1974 ni mwanasheria wa Nigeria, mwanasiasa, na mwandishi, kwa sasa ni Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Uchumi wa Ubunifu nchini Nigeria. Anatoka Jimbo la Katsina kaskazini mwa Nigeria na ni wa kabila la Hausa-Fulani.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hannatu Musawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[jamii:
- ↑ "Wike, Umahi, Edun, Lokpobiri, Keyamo get position for Tinubu ministerial portfolio", BBC News Pidgin.