Hans Nicolussi Caviglia (amezaliwa Juni 18, 2000) ni mchezaji wa soka wa taifa la Italia ambaye sasa anacheza kama kiungo katika klabu ya Juventus U23. Pia anacheza timu ya Juventus U19 katika Ligi ya Vijana ya mwaka 2018-19 UEFA.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hans Nicolussi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.