Harrismith
mji ndani ya Free State, Afrika ya Kusini
Harrismith ni mji uliopo katika mkoa wa Free State nchini Afrika Kusini. Uliitwa jina hilo kwa heshima ya Sir Harry Smith, gavana kutoka Uingereza katika karne ya 19 na kamishna mkuu wa Cape Colony.[1]
Upo karibu na Mto Wilge, kandokando ya barabara kuu ya N3 nchini Afrika Kusini, katikati ya Johannesburg, karibu km 300 kuelekea kaskazini magharibi mwa Durban.
Picha
hariri-
Mji wa Harrismith
-
Straattoneel, Harrismith
-
Kanisa, Harrismith
-
Harrismtith
-
Ukumbi wa mjini
-
Harrismith
-
Kanisa lililorekebishwa na wa-Dutch huko Harrismith
-
Mtaa mkuu wa Harrismith
-
Mtaa mkuu wa Harrismith
-
Harrismith
Marejeo
hariri- ↑ "Sir Harry Smith - An autobiography showing him to have seen warfare in four continents" (PDF). The New York Times. 1902-05-24. Iliwekwa mnamo 2008-10-21.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Harrismith kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |