Harry Winks

Mchezaji mpira wa Uingereza

Harry Billy Winks (alizaliwa 2 Februari, 1996) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Uingereza.

Harry Winks

Harry Winks alizaliwa na Anita na Gary Winks. Yeye ni wa asili ya Kihispania kupitia mama yake. Alizaliwa na kukulia Hemel Hempstead na alifundishwa katika Shule ya Cavendish.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harry Winks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.