Hassan Athumani Ngwilizi

Hassan Athumani Ngwilizi (amezaliwa 1 Aprili, 1944) ni mbunge wa jimbo la Mlalo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Hassan Athumani Ngwilizi (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.