Hassan Elias Masala
Hassan Elias Masala ni Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza. Na nimwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Aliwahi kuchaguliwa kuwa mbunge wa Nachingwea kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 25 Januari 2020 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |