Hassan Ramadhan Kessy

Hassan Ramadhan Kessy (alizaliwa )Morogoro, Tanzania, 7 Septemba 1994 ), ni mchezaji wa soka wa klabu ya Nkana FC ya Zambia. Nafasi anayocheza mchezaji huyu ni beki wa kulia.

Klabu alizowahi kuchezea hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Ramadhan Kessy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.