Mtibwa Sugar Football Club ni klabu ya mpira wa miguu ya Tanzania iliyoko Turiani katika mkoa wa Morogoro inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mechi zao za nyumbani zinachezwa kwenye uwanja wa Manungu.

Mtibwa Sugar F.C.
Rangi nyumbani

Historia hariri

Mtibwa Sugar Sports Club ilianzishwa mwaka 1988 na kundi la wafanyakazi wa Mtibwa Sugar Estates Ltd. ambayo iliamua kuunda timu ya mpira wa miguu ambayo ilianza kushiriki katika mashindano ya ligi katika ngazi ya wilaya.

Timu hiyo ilianza kucheza katika ligi daraja la nne mwaka 1989 na ilipandishwa hadi katika ligi daraja la kwanza mwaka 1996. Hatimaye mwaka 1998, ligi hiyo ilirekebishwa na kuwa Ligi Kuu.

Mafanikio hariri

1999, 2000.
2018.

Matokeo katika ligi ya CAF hariri

2004 – Hatua ya kwanza
2000 – Hatua ya pili
2001 – Hatua ya kwanza
2002 – Hatua ya pili

Kikosi cha sasa hariri

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
-   GK Shaban Kado
-   GK Benadictor Tinoko
-   DF Dickson Daudi
-   DF Cassian Ponera
-   DF Hassan Isihaka
-   DF Salum Kanoni
-   DF Issa Rashid
-   GK Abdallah Makangana
-   DF Rodgers Gabriel
-   MF Shaban Nditi
Na. Nafasi Mchezaji
-   MF Saleh Khamis Abdallah
-   FW Kelvin Sabato "Kevy Kiduku"
-   FW Haruna Chanongo
-   Salum Kihimbwa
-   FW Stamil Mbonde
-   FW Vicent Barnabas


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mtibwa Sugar F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.