Hawa Cissoko (alizaliwa 10 Aprili 1997)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Ufaransa pia akiwa na uraia wa Mali.[3]

Cissoko akiwa na West Ham United mnamo 2021

Marejeo hariri

  1. UEFA.com. "Hawa Cissoko | UEFA Champions League 2023/24". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Footofeminin.fr - Hawa Cissoko". www.statsfootofeminin.fr. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. TRAORE Guaoussou (2020-07-28). "La Franco-Malienne Hawa Cissoko s'engage pour un an au club anglais de West Ham United". Agence Panafricaine d'information (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hawa Cissoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.