Helen Slottje

mwanaharakati wa mazingira

Helen Slottje ni mwanasheria na mwanaharakati wa mazingira kutoka Marekani.

Alipokea Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka 2014.[1]

Maisha hariri

Helen anaishi Ithaca, New York na mume wake. Hapo awali alifanya kazi kama wakili wa kibiashara huko Boston.[2]

Marejeo hariri

  1. Scott Waldman (2014-04-28). "Local anti-fracking activist wins world's largest environmental prize". POLITICO (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-16. 
  2. "Helen Slottje". Goldman Environmental Prize (kwa en-US). 2022-03-18. Iliwekwa mnamo 2023-11-16. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helen Slottje kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.