Helmut Hamann(31 Agosti 191222 Juni 1941) alikuwa mwanariadha wa Ujerumani kutoka Berlin ambaye alishiriki katika mbio za mita 400. Hamann aliichezea Ujerumani katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1936 iliyofanyika Berlin, Ujerumani katika mbio za mita 4 x 400 za kupokezana vijiti ambapo alishinda medali ya shaba akiwa na wachezaji wenzake Friedrich von Stülpnagel, Harry Voigt na Rudolf Harbig.Hamann aliuawa huko Siedliszcze huko Polandi wakati wa mapigano upande wa Mashariki katika Vita ya pili ya dunia.[1][2]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Helmut Hamann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.