Henchir-Baldia ni mahali pa akiolojia katika eneo la kusini mwa Tunisia.

Magofu ya mawe yanahusianishwa na Bladia, [1] mji wa mkoa wa Kirumi wa Byzacena wakati wa Dola la Roma. Ilikuwa na askofu wa Kanisa Katoliki.

Marejeo hariri

  1. Bladia at gcatholic.org.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Baldia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.